HabariMatangazo

Airport Zanzibar imeanza kutumika Kisiasa

Hivi karibuni nilipata taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu kwamba kuna mzanzibari ambaye ni mkaazi wa UK alikamatwa airport Zanzibar na askari wa usalama pale airport askari huyo ni mwananamke ,tena ni mkorofi sana kwa taarifa nilizo pata, ameanza kutumiwa na wanaccm kuwatisha wazanzibari walioko nje.

Mkasa huyu mtu akifiwa na baba yake huko fuoni ,baada ya kupata taarifa na kuja Zanzibar kwa ajili ya msiba wa baba yake,ndio hali iliyo mtokea hapo airport Zanzibar, ndugu na jamaa zake wakafanya huku huku na kule ndio kutolewa madema.

Ninacho taka kusema ni kwamba mimi kama mzanzibari ninae ishi nje na kwa niaba yangu na familia yangu,na wanzanzibari wote ulimwenguni, kamwe hatutasita kuja nyumbani ,wakati wowte, na tunatuma salamu hapo usalama wa ccm kamba magereza yenu hatuogopi, na mukiendelea kuwanyanyasa wazanzabari na wasio wazanzibari tutawaandikia barua rasmi ubalozi wa uwengereza,canada na America na balozi nyingine wanajua nini cha kufanya, kama hamujui miaka ya nyuma nini kilitokea airport dar es salaam basi mtakipata na nyinyi.

Na mukiendelea na upumbavu wenu, tutashuka dar es salaam ,kwani visa tunalipa dola mia kila raia wa wa nje, ina maana ya kwamba fedha hizo titakwenda Tanganyika, sijui mutakua muna mkomoa nani zaidi ya serikali ya mapinduzi ya zanzibar.

Pia natoa tahadhari kwa yoyote atakae kumbana na unyanyasaji kama huu, wasiliana na ubalozi wa uk dar es salaam, pia tunawaomba mutoe taarifa kwa mwenyekiti wa ZAWA uk

Pia tutashirikiana na jumuiya nyengine za wazanzibari wanao ishi nje kama ZADIA ,na tutachukua hatua za kisheria, kwa kuwasiliana na balozi zilizopo Tanzania

Shukran

Share: