Habari

Amiri Jeshi Mkuu wa Idara Maalum Zanzibar akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama

Amiri Jeshi Mkuu wa Idara Maalum Zanzibar ambaye pia ni RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya chakula cha mchana Vikosi vya Ulinzi naUsalama vilivyoshiriki gwaride la kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika 12-1-2018 katika viwanja vya Amaan Zanzibar.

MAOFISA wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Amiri Jeshi Mkuu wa Idara Maalum na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar

Tagsslider
Share: