Annur

Soma gazeti lako An-Nuur Ijumaa Iliyopita

Mtuhumiwa ugaidi afariki Ni Imam Thabiti Msikiti Geti la Mbao
* Maiti yakutwa na majeraha ya kutisha
* Alikamatwa Mei, hakuonekana mpaka kifo
Vituko vya CCM Zanzibar kubeba siasa za Kisonge
* Yaguju, hupewi nchi, ukitaka pindua
* Uamsho imesajiliwa, bendera tatizo???
* Labda hakuna jingine la maana la kufanya
Chonde chonde Mangu Tujifunze kutoka ATPU
Kesi Masheikh wa Uamsho yaahirishwa tena
* Ni baada ya Jamhuri kuweka pingamizi
Waziri Mambo ya Ndani afukuzwa kazi Kenya
* Inspekta Kimaiyo alazimishwa kujiuzulu
* Wakazi Mandera wahama kwa hofu ya kuuliwa
Misikiti iliyofungwa yafunguliwa Mombasa
Anti-Balaka kuanzisha chama cha kisiasa Jamhuri ya Kati
Waandalieni nguvu kubwa muziwezazo
* Ila hili la al-Shabab, Boko Haram
* Sio kwa silaha na ‘Vikosi Maalum’
* NASOC, ACOTA haijasaidia Nigeria
Hamad Rashid aige kwa Kafulila, Zitto
Kutandawazisha vita
Mzee Mwinyi ahimiza Waislamu kupiga mbio katika kutafuta
Soma nakala yako hapa: –

Share: