Annur

Soma gazeti lako AN-NUUR Ijumaa iliyopita

Baadhi ya Dondoo zilizosheheni ndani ya Gazeti hili:-
Sheikh Alhadi apewa somo zito:
>>> Ajifunze kutoka vyama vya korosho,daladala
>>> Usheikh wa Mkoa ni dhima,na dhamana kubwa
>>> Sio kwa ajili ya kuhudhuria hafla za CCM,Serikali
>>> Wala kucheza mechi na Maaskofu uwanja wa Taifa.

Misikiti mitatu yafungwa kulikoni???
>>> Makufuli mazito milangoni
>>> Polisi na silaha nzito wanalinda
>>> Ni hali tete yahitaji busara kubwa>

Zanzibar si Shuari tena:-
>>> Kamata kamata yapamba moto
>>> Karume akumbukwa kwa ujasiri
>>> Shein, Maalim kinawashinda nini??

Unaweza kulisoma zaidi Gazeti hapa Chini

Share: