Annur

Soma gazeti lako An-Nuur

Masheikh wanadhalilishwa kwa Uzanzibari wao?
* Ahoji Mbunge wa Konde Khatibu Haji
* Mariam Msabaha asema, tunaiita laana
* Mh. Mathias Chikawe alikoroga zaidi
* Wazanzibar waja juu Bungeni, wazimwa
Ajabu kuwaita Masheikh ni ‘mbwa wa Jahannamu’
* Hii ni itikadi ya Uyahudi Vs ma-goyim
* Tusipokuwa makini na sera za ‘Takfiri’
* Mguu utaota tende na majuto ni mjukuu
* Mipango ya Yahudi Oded Yinon inatimia
Kundecha akumbusha usia wa Ustadh Ilunga
* Waislamu watafakari, wapange, watende
* Si kulalamika, kuwatupia lawama viongozi
Tahariri: Majibu haya ya dhihaka Ni ishara ya chuki mbaya
Vijana wapatiwe ajira-Lipumba
Norway yaihimiza SMZ kuenzi maridhiano

Soma gazeti lako hapa: –

Share: