HabariHabari-Picha

Baraza ya Wazee wa CUF Mkanyageni Pemba yatiwa moto

Baraza ya Wazee ya Chama Cha wa Wananchi CUF Wilaya ya Mkoani Pemba nayo imetiwa moto na watu wasiojulikana huko Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumapili tarehe 6/3/2016.

Share: