HabariZenjiLikiz

Breaking news! Hamadi Rashidi kufukuzwa chama cha ADC kwa Usaliti

Mwenyekiti ADC Bwn.Miraji ameviambia vyombo vya habari kuwa Hamad Rashid ni lazima afukuzwe.

Hamad aliyekuwa mgombea wa ADC ametuhumiwa kushirikiana na CCM kuhujumu Wazanzibar, Hamad ametajwa kuunga mkono uchaguzi kurudiwa!

Pia anatuhumiwa kwa ubadhilifu wa pesa na kutaka madaraka kinyume na utaratibu.

Habari zaidi zitakujieni baadae in shaa Allah, stay tuned

Tagsslider
Share: