Habari

Breaking News “Mbunge wa Chambani Afariki”

Habari zilizotufikia mchana huu zinasema,Mbunge wa Chambani(CUF),Salim Hemed Khamis aliyeanguka ghafla jana katika Vikao vya kamati ya Bunge,amefariki.

Amefariki katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mipango ya mazishi na kumsafirisha inafanyika, kwa habari zaidi ungana nasi baadae. au soma gazeti la mwananchi kesho.

source Mwananchi

http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1732968/-/1299oy8/-/index.html

Share: