Habari

Case ya uhalali wa muungano

ASSALAM ALAIKUM

Kila siku nataka kuwauliza wale walio fungua case ya uhalali wa muungano pale East Africa court, wameishia wapi ? Mara ya mwisho walisema wamepewa week 2 na wametakiwa kurekebisha case hio ili iweze kusikilizwa tena.

Kama wataupata ujumbe huu,watueleze wamefikia wapi,na lini itasikilizwa tena.

Shukran

Share: