Habari

DAWA YA UDICTATOR WA NCHI MASIKINI:

By James Mapunda

Habali zenu ndugu Wazanzibari na wale Watanganyika popote mlipo. Nimekuja namakala fupi sana leo hii ambayo ina kichwa cha abari ya kuwatia adabu CCm na Udictator wao ni:

Tumeweza kuona mwaka juzi Chadema waliandaa maandamano ambayo yalikuwa yanaitwa UKUTA. Lakini CCM waliingiwa na gofu nakuviagiza vyombo vya Dola kwamba. Endapo Vyama vya Upinzani vitafanya Maandamano basi Wafyatue Risasi kwa kila atakae shiriki. Kama munakumbuka nduguzangu wasomaji, Maandamano yare yalizuiwa na Viongozi wa Dini kutoka katika Makanisa mbali mbali.

Sasa Ikiwa Wapinzani wakitaka kufanya maandamano halali wanatayarishiwa Mabomu na Vifaru, Nini kifanyike ili tuwatie adabu hawa Viongozi wa Kimasikini ambao ni Madictator. ???

  1. Kuwanyima Kodi:Pombe kwa wale Watanganyika ambao wanakunywa Pombe basi nawaache mara moja kununua Pombe ao kunywa Pombe nyingi. Munaweza kunywa chupa moja baada ya kunywa pombe tano.
  2. Kuvuta Sigara: Wale wanaovuta sigara Gomeni kununua bdhaa hizo kwa miezi 3 mfululizo.
  3. Sukari: Kununua sukari acheni kunywa chai na sukari ( naomba hili Wapemba wasinielewe vibaya)
Share: