Habari

Disasters at Sea: Why Ships Sink

Salam

Nawaletea hii link kwa yule atakayeweza kuingia ina mafunzo mazuri juu ya kuzama kwa meli.

Hii video inaonekana inaugumu wake, hata hivyo kila mmoja ajaribu kuingia. Itataka ujiunge, na usiwe chini ya umri wa miaka 20. Hivyo utakapojaza lizingatie hilo.

Link yenyewe ni hii:

http://www.channel4.com/programmes/disasters-at-sea-why-ships-sink/4od#3361087

http://www.channel4.com/programmes/terror-at-sea-the-sinking-of-the-concordia/4od#3307951

Kila la kheri

Share: