Habari

Dr.Shein na Magufuli wamtembelea Maalim Seif

12804682_857606721014343_2370300965345432794_n

Maalim Seif amewahakikishia Watanzania kuwa afya yake inaendelea vizuri na kwamba anaendelea na shughuli zake na siku chache zijazo ana matumaini ya kurejea katika hali yake ya kawaida.(08/03/2016)

Share: