AudioHabariPodcasts

Dua hii muhimu sana tuisome sasa ndio wakati wake kuliko Uchaguzi wa Oct 25

Assalaam alaykum warahamtullahi ndugu Wazanzibari popote pale mulipo, tunaomnba tumuombe Allah kwa kuisoma dua hii kwa sana, na huu ndio wakati wake kuliko kipindi cha uchaguzi uliopita wa Okt 25.

Dua hii lengo lake ni kumshitakia Allah, na kumkabidhi maadui zetu, wanaotakabari na kufanya jeuri, sisi hatuna nguvu isiokuwa yake yeye, tunaomba isambazwe kwa whatsapp group zote na tunaomba watakaofanikiwa kuiprint waisambaze kwa ndugu jamaa na majirani.

DOWNLOAD DUA HAPA au HAPA

kuidownload Vedio ya Dua hii COPY URL ADDRESS ya vedio BONYEZA HAPA na upaste ili uweze kuidonload

BONYEZA HAPA KUPATA FULL SCREEN YA DUA HII

Tagsslider
Share: