Michezo

Kutoka uwanjani Mao Tsetung – Pambano kali linaendelea.

Naam wapenzi wasikilizaji jioni hii hapa katika kwainja cha Mao Tsung pambano kati ya time za Supper Falcon kutoka kule Chanjamjawiri kisiwani Pemba ikipambana na timu ya Kikwajuni kutoka mjini Unguja.

Zifuatazo ni picha za matokeo muhimu za pambano hili

Wachezaji wa timu ya Kikwajuni

Wachezaji wa timu ya Kikwajuni wakipasha viungo moto chini ya usimamizi wa kocha wao

Wachezaji wa timu ya Supper Falcon wakipasha viungo moto kabla ya pambano kuanza.

Wachezaji wa timu ya Supper Falcon wakipata mawaidha ya dakika za mwisho kutoka kwa Meneja wao

Wachezaji wa timu ya Kikwajuni

Match officials wa mchezo wa leo. La ajabu ni kuwa wapo watatu tu, hapana kamisaaa

Kikwajuni imepata goli hapa. Ilikuwa ni makosa ya mabeki wa timu ya Falcon.

Share: