Michezo

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar 2015

Friday, November 6, 2015

Kikosi cha Zanzibar Heroes kitakacho shiriki Challenge Cup!

Kikosi cha Zanzibar Heroes kitakacho shiriki Challenge Cup!!

Walinda milango Mwadini Ali ( Azam) Moh’d Abrahman (JKU) Idrisa Ali (Hardrock) na Moh’d Ali Muali ( Tanzania Prison)

Walinzi wa pembeni Mwinyi Haji Ngwali (Yanga) Nassor Masoud “Cholo” (Stand United) Samir Haji Nuhu (Simba) Adeyum Saleh (Coastal Union) Poncian Malick (JKU).

Walinzi wa kati Nadir Haroub “Cannavaro” (Yanga) Agrey Moris (Azam) Khamis Ali “Chichi” (KMKM) Said Mussa Kidindi (Mafunzo) na Issa Haidar Mwalala (JKU)

Viungo Awadh Juma ( Simba) Mudathir Yahya (Azam) Said Makapu (Yanga) Moh’d Abdulrahman Mbambi (Mafunzo) Khamis Mcha “Viali” (Azam) Omar Juma ( Hardrock) Suleiman Kassim “Selembe” (Stand United) na Mbarouk Chande (JKU)

Washambuliaji Ibrahim Hilika (Zimamoto) Jaku Joma (Mafunzo) Matheo Anthony (Yanga) Chainga Othman (Jang’ombe Boys) na Ame Ali Zungu ( Azam)

Share: