KIBWAGIZO MURUWA KUTOKA KISONGE
Haya kumbe Kisonge wanafahamu Wapemba wakiondoka UNGUJA watakufa njaa?
Je,Polisi au Dr. Shein halijui hili?
Nasikia anaeandika haya alikuwa ni Mwamuzi zamani wa mpira huyo mzee sasa sijui nani anamfahamu.
Lala salama tujitahidi tusichokozeke..