Habari

Haki za uandishi ndani ya mtandao

Salaam,

Kwa wale ambao watakuwa hawalifahamu hili la haki za uandishi ni kwa ufupi kila mtu anaweza kupatiwa.Kwa anaehisi kama anaweza kuandika au kusaidia utoaji / uchapaji habari tafadhali wasiliana kwa admin@mzalendo.net.

Usihau kujitambulisha na email / username gani unayotumia hapa ndani ya mtandao.

P:S
Kwa ukumbusho fomu ya kujiandikisha imerudishwa hii ilisahuliwa tokea mihemko ya uchaguzi.

Nawasilisha.

Share: