Habari

Human Rights Defender yampa tunzo Salma Said

Human Rights Defender imetoa tunzo kwa watu watatu akiwemo Mmiliki wa Mtandao huu(zanzibaryetu) Bi Salma Hamoud Said ni miongoni mwa watu watatu waliopewa tunzo ya mwanamke jasiri katika utetezi wa haki za binaadam, mwengine ni David Kafulila na Maanda Ngoitiko jana katika ukumbi wa Hoteli ya Ubungo Plaza

Tagsslider
Share: