Habari

JAJI WARIOBA MBONA UKITAJIWA MKATABA UNAHAMAKI?

Napenda kumuuliza huyu Mwenyekiti wa tume ya maoni ya katiba kuwa kwa nini akitajiwa neno Mkataba kwenye maoni na wananchi wa Zanzibar huwa anahamaki na kujifanya haujui?
Yeye na Jimmy Carter na Sumaye ndio walioigawa Sudan ikapatikana Sudan ya kusini
sasa Zanzibar hataki kuigawa kwa nini?
Tafadhali kuwa muungwana wape Wazanzibari nao haki yao ya kujigawa usijifanye hamnazo au kwa Zanzibar hutopata asilimia yako kama Sudan ya kusini ambako kuna mafuta?

Share: