Habari

Kada wa CCM ni Mgombea wa Haki za Binadamu

Mgombea Ukamishna Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Abdulaziz Hamid Mahmoud, mtoto wa kwanza wa Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Hiyo picha ameipiga akiwa Nyumbani kwao, kwa Baba yake, Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ANGALIA hiyo picha/poster ya CCM iliyopo nyuma yake kwenye huo mlango.

Poster ya Ccm mlangoni kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ZEC : Watawala wamekosa hata chembe ya aibu.

Share: