Habari

Kampuni zaidi ya 6 zajipanga kuondosha uwekezaji Tanzania

Baadhi ya makumpuni makubwa ya kigeni yaliyowekeza nchini Tanzania huenda yakafikiria kupunguza au kusitisha shughuli zake kwa sababu ya masharti magumu yanayowekwa dhidi ya makampuni hayo, ikiwemo kodi kubwa.

https://justguideme.blogspot.co.uk/p/zanzibar-res.html

Share: