Habari-PichaKitaifaUjumbe maalum

Rais wa Tanganyika au Tanzania?

151105124056_magufuli_640x360_bbc_nocredit

Mh.Magufuli leo wakati anaelekea kuapishwa ,alibeba Ngao kubwa na mkuki,pia Siku moja kabla kuapishwa,alionekana anawapokea wachungaji wa kikristo maarufu wakitokea Nigeria,ili kuhudhuria tafrija hiyo.

Katika vipaumbele vyake,ikiwemo skuli bure kutoka Nursery hadi Form 4,Ajira kwa vijana,kufufua viwanda mikoani,mahakama ya rushwa n.k hakugusia kabisa suala la katiba mpya au matatizo ya ZANZIBAR.

Hapa tunapata suala au masuala yafuatayo:
Je,waziri mkuu atatoka Zanzibar?
Je,Spika wa bunge atatoka Zanzibar?
Je,Katiba ataipitisha kwa lazima?
Je, mawaziri watakuwa wepya au wale wale?
Je, atatatua mgogoro wa Zanzibar?
Je, kutakuwa na mabalozi na mawaziri kutoka Zanzibar wangapi?
Je,Huyu ni Rais wa Tanzania au Tanganyika?

Akii kichwani mwako

Share: