HabariMatangazo

Kongamano kubwa kuhusu kurudiwa uchaguzi Jumapili tar24.January 2016

Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS ) Kimeandaa Kongamano kubwa Jumapili kuanzia saa 8.00 mchana hadi saa 12.00 jioni katika Ukumbi wa Ubungo Plaza. Watoá mada ni aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar. Bw. OTHMAN MASOUD OTHMAN na Wakili Bi FATMA AMANI KARUME. mada hiyo hapo chini na mengineyo kuhusu kufutwa uchaguzi Zanzibar. ITV itakuwa live

watakaoweza kufika mnaalikwa nyote.

Ahsante

Share: