HabariHabari-Picha

Kutokomea kwa Lipumba CUF hapatoshi Dar

FB_IMG_1439145935759

Kufuatia kujiuzulu kwa Lipumba, maelfu ya wanachama wamehudhuria mkutano wa waandishi wa habari ulioandaliwa na CUF kuzungumzia hali halisi ya chama hicho katika kipindi hiki.

Kwa mujibu wa katiba ya Chama hicho idara ya 101 kifungu cha 118 Maalim Seif amesema,Wameunda kamati maalum ya Kusimamia shuhuli za uongozi hadi hapo uchaguzi wa Mwenyekiti utakapofanyika rasmi ndani ya kipindi cha miezi sita..
Walioteuliwa ni Mh.Twaha Taslima (Mwenyekiti) wakati wajumbe ni Abubakar Khamis na Severina Mwijabe.

Share: