Habari

Liko wapi tamko la Smz baada ya Znz kuvuliwa kwa Idhara uanachama wa CAF:

Share:

5 comments

 1. Jino kwa Jino 7 Agosti, 2017 at 04:16

  Hawawezi kusema lolote kwanza hawana UZALENDO ktk nyoyo zao pili ni WOGA tatu Wafadhilka huwa Sayidaka .Unategemea nani afungue mdomo wake aseme kama sikuyapili hakufukuzwa anatakiwa mzalendo wa kweli mwenye huruma na nchi yake asiekubali dhulma na ni shujaa kwa watu wake ,kila kitu kina mwisho wake Wafalme Madhalimu wamepinduliwa na watoto wao waliowazaa damu yao kwa udhalimu wao na nyie Allah ataleta tu mtu kuja kuifanya hiyo kazi .Muna macho lkn hamuoni .Je Munamuona aliekuwa Raisi Mwenye kibri na maneno machafu kama choo cha bar, leo anatembea tata na haoni .Je? hamuzangatiii ,basi ndivyo hivyo hivyo watakavolipwa waovu hapa hapa duniani na akhera hisabu ,endeleeni iko siku mutatiwa mkononi.DHULMA HAIDUMUUUUUUUUU.

 2. abuu7 7 Agosti, 2017 at 06:10

  C.A.F. yuko sawa kututimuwa kwenye uwanachama. hapa ndio patam sana .tulipata chansi ya kwanza kupitiya mashek uwamsho. sasa hii ni chansi ya pili kupitiya chama cha mpira .hii ni chansi nyengine hakuna kulala.ni lazima rais wa ccm ajibu zanzibar ni nchi au mkowa. hahahahaha

  ukiwa mkweli maisha yote utashinda tu

  jee sasa mtaweza kuwapeleka kisutu na hawa walopeleka maombi kuomba uwanachama

 3. zamko 8 Agosti, 2017 at 15:16

  Asalamu aleikhum Waungwana muliochangia:

  Suali hili Tumuulize Yule BALOZI WA TANGANYIKA NCHINI Zanzibar. Sefu Ali Iddi- Ndie alievuruga Bunge la Katiba 2014 kwakuwatisha Wahafidhuna Wenye BT na Waliozoea kukhushi vyeti na kuishi kwa dhulma badala ya Jasho lao. Kwanini nikasema hivi kwasababu kila aliyekuwa kwenye bunge la Katiba 2014 ambae anatumia Jasho lake mwenyewe kupata Rizki za halali hakutaka upuuzi wa Sefu Ali Iddi.

  Lakini hawa maalanatullahi laadhim akina Pembe, Ngozi, Kwato na Wadudu wengine wanaoitwa Vuai, Jecha, Nahoza na utitiri wa walafi wenzao ndio waliokuwa woga wakamsikiliza Sefu Iddi. Mtwana yule aliekuwa hata hajulikani alikotokea.

  Leo tunataka jibu kwanini Mumejifungia na mumekaa kimya?

  Tupeni kauli yenu kwanini Zanzibar imetolewa kwenye CAF- Ni nani anaweza kufumbua Mdomo wake kulitetea hili?

  Hayo ndio Mapinduzi munayohubiri au Munahubiri nini?

  Ninachokiona sasahivi nikwamba Serekali ya Mazombi Walijifungia na kuanza kunungunika chini chini hawathubutu kufumbua Midomo yao. Kwani Katika Vichwa vyao Muna Mafunza.

  Hawawezi Kufumbua Nyoyo Zao kwani katika Nyoyo zao kuna umimi na Njaa ya dhulma iliokuwa hawamalizi.

  hawa ndio watakao kufa wakishikwa na kiu kubwa kwakuiuza Zanzibar na kila kilicho chake.

  Hivo Walipokuwa Wakijipigia Kura x 100 mia siku ile ya tarehe 20 March 2016, walidhani Uongozi wa Nchi ni Lele Mama?

  Uongozi wa Nchi unataka kwanza Uwe umesoma, yaani Una Elimu ya Dunia na Akhera. Hapo ndio unaweza kutenda Haki. Hao Mazombi wote waliokuweko katika Serikali hii Haramu ya Christian Chatholics Movement.. Ni Watumishi wa Cardinal Pengo.

  Waache watumikie Kanisa hadi siku yatakapowafika Mauti yao kama Bi Mtama.

 4. Tengoni 9 Agosti, 2017 at 12:39

  Mzalendo haifunguki wiki hii, lakini haya tutajaribu ku comment. Hili neno Tanganyika wenzetu hawalitaki, kwani wanajuwa hasara yake, na kauli ya kweli ya sSMZ lazima ilihusishe jina hili, na ukweli viongozi wote wa SMZ, wanaogopa kulitamka jina hili hadharani, ukweli hata vyombo vyetu vya habari, mfano ike taasisi pekee inayotumia jina sahihi, Tanganyika Law Society, ilipovuma wakati wa uchaguzi wake, radio nyingi za Zanzibar, zilikuwa zikiitaja tasisi hii kama Tanzania Law Society, ilichukuwa muda kujirekebisha. Hawa wanasheria wanakera sana utawala kwa jina hili,hawalitaki. Huku Zanzibar tunebandikwa midomoni mwetu, Tanzania Bara, hili ndio ketu sisi wazanzibari, wao wanatumia Tanzania, huwasikii Tanzania Bara, na jumuiya ya kimataifa haitambui Tanzania Bara, hata kwenye kombe la Kagame, hawatumii Tanzania Bara, wanatumia Tanzania inacheza na Zanzibar, kwa mfano, na radio zote zitazotangaza game hiyo zitatumia hivyo, isipokuwa vile vya Zanzibar, vitavyotumia Tanzania Bara, na vile vya Bara wao watajificha kwenye Kilimanjaro stars. Tumeleweshwa hivyo, hatuthubutu hata kujiekeza huko CAF na FIFA. CAF moja ya sharti lao chama husika kikubalike nchi nzima, sasa TFF inawakilisha nchi nzima? Hebu TFF watumie jina halali tuone itakuwa nini? FIFA wao wanampenyo kuwa bwana anaetawala nchi, ambae ni mwannchama wa FIFA, anaweza kumuombea mtawaliwa uanachama wa kudumu wa FIFA, mfano mfaransa anaweza kutowa ushahidi kuwa Mayote wanasakata kabumbu la uhakika, basi nawaombea uanachama wa FIFA, FIFA inaweza kuwapa uanachama koloni la mwanachama. Sasa ZFA ilidhani CAF wanamwanya huo, ndio wakapitia Tanganyika naTFF iwaombee uanachama kama. Zanzibar ni koloni la Tanzania, ndio ukaona sSMZ haijujishughulisha na maombi hayo, lakini masikini CAF hawana upenyo huo, suluhisho TFF itumie jina sahihi, au ijitowe na Zanzibar ijiunge na vyombo hivyo, kwa kujiita TFA, Tanzania football Association, kwa miaka 50 ijayo, TFF ibakie CECAFA, ikifika miaka 50, Zanzibar ijitowe naTFF irudie kujiunga, nasie tuone utamu wa kulitumia Tanzania peke yetu. TUSIKUBALI michezo kuongezwa kwenye mambo ya muungano,

 5. chatumpevu chatumpevu 9 Agosti, 2017 at 14:17

  zamko, tengoni, Abuu 7; my brother jino kwa jino
  Nimependa comments zenu. Mbio za kusaka mapembe zinanifanya nikose muda wa kuchungulia kwenye mzalendo. lakn mada ni nzuri na inasisimua lakn kama mnavyojua wakoloni hawataki hata tujambe na tunapotaka tujambe mpaka tuwaombe ruhusa. Nimemshangaa sana kaka madilu ( shein) na balozi mkaazi kwa ukimya wao kuwa mpka sasa hawajsema lolote khs znz kutolewa kwenye uanachama wa CAF kama kwamba znz si yo kwao? Siwaelewi jamaa hawa.

  Ndyo pengine wanamuogopa mkoloni atawatumbua lkn hata basi kutumia njia nyengine za kupaza sauti kwa kuwatumia wasaidizi wao? na hiyo ndo imeshindikana? Hili ni suala kubwa na si la kudharau kwani linahitaji mjadala mpana kwa sisi wazanzibari ili tujue hatma ya nchi yetu. Ukikaa na wabongo utajua matusi yao wanasema wazi wazi kuwa karume ameigawa znz kwa tanganyika kwenye kisahani cha chai na wanasema hawaitoi n’go. Kuna siku moja nilitaka kumpiga teke jamaa chuoni kwa kuleta jeuri eti kasema kuwa tunawatumia hao hao jamaa zenu wa kizanzibar wenye najaa ya madaraka kwa mtindo wa ‘devide and rule’ kwani tukisha wapa madaraka, tukiwalinda ili CUF isipate ushindi hawana la kusema. Hawa ni wale wenye maradhi ya BT kama alivyo comments Zamko hapo awali. Na ndio ukweli ulivyo. Sasa, hakuna kukata tamaa hata kidogo kwani cku zote harakati za kudai haki huchukua muda na hakuna kuchoka. Angalia somaliland, sudani ya kusini, Eritrea na East Timor( jino kwa jino huwa unatoa mifano hiyo sana) wamechukua mda mpka wakapta haki yao hiyo ya kuwa na mamlaka kamili. Confidence and perseverence ni kitu muhimu ktk kufanikisha dhamira njema hii ya kuwa na znz iliyo huru. Lililobaki ni kuratibu vizuri harakati zote za kuiwezesha znz kupata mamlaka yake kamili.

  Tukae tukijua kuwa wakoloni hawana nia njema hata kdg kwa kuiachia znz.

Leave a reply