Habari

Makufuli azidishe kujenga Magereza Zanzibar maana tutakuwa wengi,lakini Wzanzibar hatuto giveup kudai haki yetu .

IMG-20160318-WA0024-1

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa mwakilishi wetu visiwani Zanzibar, Salma Said (pichani), amekamatwa na watu wanaoaminika kuwa wanatoka vyombo vya usalama kwa sababu ambazo bado DW haijazielewa. Ungana nasi kwenye matangazo ya jioni.

Share: