Habari

MALIM SEIF ZIARANI KUWAIT(SAFARI HII IMEAKHIRISHWA)

MAALIM BADO KIJANA TAFAUTI YA WANAOSEMA KAZEEKA

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WAZANZIBARMAALIM SEIF SHARIF HAMAD ANAONDOKA NCHINI LEO JIONI KUELEKEAKUWAITKWA ZIARA RASMI YA KISERIKALI.

KWA MUJIBU WA TAARIFA ILIYOTOLEWA NA OFISI YA MAKAMU WAKWANZAWA RAIS, MAALIM SEIF ATAFUATANA NA MKEWE MAMA AWENA SINANI MASSOUD NA BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI AKIWEMO WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, FEDHA, UCHUMI NA MIPANGO YA MAENDELEO MHE. OMAR YUSSUF MZEE.

VIONGOZI WENGINE ANAOFUATANA NAO NI WAZIRI WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANAO MHE. HAMAD MASSOUD HAMAD NA KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA NA SHERIA BWANA ASSAA AHMAD RASHID.

MAALIM SEIF ANATARAJIWA KUREJEA NCHINI FEBRUARI 07, MWAKA HUU.

Share: