Habari

MASKINI ZANZIBAR HUNA NDUGU ILI ALAIOBAKIA NI ADUI YAKO!!!

NIhabari ya kuhuzunisha mno pale linapo tokea tendo Iiwe la bahati mbaya au la kupangwa basi itakuwa ni kusulubiwa Zanzibar na watoto wake wote, lakini jambo kama hilo likitokea Tanzania Bara kama wenyewe wanavyo penda kuita au kuitwa huwa si jambo kitu wala haliandikwi , au kusemwa, nijuzi juzi tuu Zanzibar watoto wawili wa kiengereza walimwagiwa tindi kali “Acid” magazeti yote ya Tanganyika yaliandika kadhia hio kwa upeo mpana, lakini jambo kubwa zaidi limetokea Tabora hakuna chombo hata kimoja cha habari kilicho toa taarifa hio kilicho jiri Tabora.

Katikati ya juma hili WATU WENYE SILAHA ZA MOTO NA MAPANGA NA SILAHA NYINGINE ZA KIASILI WALIWAVAMIA WATOTO WA KIENGEREZA WALIO KUWA SAFARINI KATIKA ZIARA YA KIMAFUNZO HUKO TABORA, naomba niambiwe radio gani ya Tanganyika ilio toa taarifa hio au gazeti gani lilitoa taarifa hio? kama kweli waandishi wa Tanganyika hawana mapenzi na Wanzanzibari na Zanzibar yenyewe.

Tuache unafiki walio wengi wa Tanzania bara hawa mapenzi ya kweli na Zanzibar ila sisi ndio tunapenda kujikomba kwao.

WASALAAM

Share: