Habari

Mbona Mzalendo inadorora?

Habari zenu Wazalendo.
Nimeona niulizie, siku hizi inaweza kupita wiki mzima hakuna habari mpya katika mzalendo. Jee ni kwamba wazalendo tumekata tamaa au kuna tatizo jengine?

Share: