Habari

Mfalme Pombe: Kumbe hata Mabalozi wa nje ni “MABASHITE” wa CCM???

Asalamu aleikhum Warahamatullah wabarakatuhu ndugu zangu Wazanzibari na Watanganyika wa ndani na nje ya Nchi zetu. Mategemea, munaendelea vizuri na kupambana na mfumo huu wa Kidictator ambao mimi kwa muono wangu wa karibu nahisi unafikia kileleni na kishja kuporomoka. Hili linaweza kutokea ikiwa tutashirikiana na kuamuwa ni Utawala gani tunaoutaka ktk Nchi zetu mbili Tanganyika na Zanzibar.

Ama bila yakupoteza muda acheni niingie katika mada niliokusudia, kama ilivo watu wengi wamekuwa na access ya Social Medianakumuona Mh. Tundu Lissu aki “Raise awareness” dhidi ya Ukiukwaji  wa democrasia, unyanyasaji wa wananchi wanyonge, uporaji wa fedha za umma unaoendelea kufanywa na Raisi Pombe na genge lake na uvunjwaji wa Katiba Nchini Tanganyika na Zanzibar.

Sina shaka  anayoyafanya Mh. Tundu Lissu binafsi namsifu sana kwa Ujasiri wake wa kuendelea kutetea haki ya watu wote; democrasy na utawala wa sheria – Ambao  naamini kwa umoja wetu kama tutasimama na Mh. Tundu Lissu basi hili litafanikiwa by 2020. Na kila mmoja wetu, hata hao wajukuu wa (wafalme CCM) watakuja kufaidika hapo baadae ufalme wao utakapo potea kama moshi Inshallah.

Sio hivo tuu, bali ziara ya Mh. Tundu Lissu ni moja ya  kumnyanyua na kumuongezea nguvu ki sycologia; na wenzetu watu wenye ufahamu wa kuwa Tromatised basi wanaelewa nini maana ya Syco-therapy. Tujuwe kwamba Mh. Tundu Lissu CCM walitaka sasahivi awe ni Mifupa iliosahauliwa. Na inasemekana wengi wao sasa hivi wanataka wamfuate Mh Tundu Lissu aliko kisha Wammalize. Na ndio maana Mabalozi Mabashite wanasema kwamba arudi aje atoe ushahidi.

Ziara ya Mh. Tundu Lissu sio tu inamuimarisha ki akili bali inamsaidia phisycaly ili  muili wake uweze ku Coup na what has been happened.  Zaidi, nimesikitishwa sana kuona kwamba  kumbe Doctor, Mfaleme, Mtukufu; Raisi wa Malaika Pombe Magufuli anawakilishwa na Mabalozi Ovyo wasiokuwa na brain yakusoma nyakati na maendeleo ya Democrasia katika nchi walizowekwa. Aibu kuona Taifa hili linalotutawala linachagua Viongozi wabovu wa akili na vipofu wasiona  au kusoma alama za nyakati. Hebu nawaiangalie Venezuela sasa imefikia wapi?

Balozi kasilingi namfananisha na yule Bashiru Ali anaejiita Doctor pamoja na yule raisi wa Tanganyika Football Federation anae endelea kuzila pesa za ZFF. Pia nawafananisha Mabalozi hawa wa Mfalme Pombe kama Bashite yule Mkuu wa Mkoa aliefoji Vyeti na kubadilisha jina. Hata hivyo hawa watu hawakupotea kwasababu huyo Raisi Wao wa Malaika Weusi Wasio Akili nae pia ni BASHITE.

“If embasodoe Kasilingi has nor Eyes  to see what has been happened in the past 3 years of Pombe Magufuli Iron Rule, does he has nor heart to feell sory and congratulate Mr. Tundu Lissu for leading an example efter 36 bullet short?

Balozi Kisilingi kwakukumbusha tuu hivi sasa:

  1. Watoto wetu wanabakwa na kuuliwa kwasababu uongozi wenu wa CCM hauna haiba ya uongozi na Serikali ya CCm imeshindwa kulinda Usalama wa Raia.
  2. Wananchi wasio hatia  wanauliwa na kutupwa ndani ya magunia katika kipindi cha Mwingulu Nchemba na Raisi bado anasisitiza kwamba ikiwa polisi watamuuwa mtu basi wasichukuliwe hatuwa. Kwani wanafanya kazi zao- Yet Balozi huyu anaona kauli hizi za Kiongozi mkuu wa nchi ziko sawa. Ikiwa yeye ameshatoa license yakuuliwa watu , hawa raiya wa chini watafanya nini?
  3. Viongozi wetu wa Upinzani ambao wamejitolea katika Nchi ya Tanganyika na kuweza hata ku invest in job opportunity na kutoa ajira. Mali zao zimevunjwa vunjwa na wao kusiukumiziwa kesi na kuwekwa ndani. Yet Balozi wa Tanganyika Nchini Marekani haya yote anayaona yako sawa kwasababu tuu yeye na family yake wako Warshington?
  4. Media harrasment na uvunjaji wa democrasia katika Visiwa vya Zanzibar. hayo ni machache tuu nilioyataja Madudu na madhara makubwa yanendelea kufanyika katika Nchi hizi mbili. Lakini hakuna anaeyaona haya isipokuwa wapinzani. Na wakiamua kusema hunyamazishwa kwa Risasi, Kutekwa, Mali zao kuharibiwa nk. Hii Ndio Nchi ya Tanzania/Tanganyika. Kweli sasa naamini huwezi kuwa Balozi kama wewe sio Bashite au CCM

 

Ndugu Watanganyika na Wazanzibari ili kuweza kumnyanyua na ku Mmotivate Nduguyetu Mh. Tundu Lissu ni lazima tuchapishe Flana zakuvaa na kumpa moyo. Mh. Tundu Lissu ni Tumaini la Watanganyika  wanaohangaika kupata fee za shule. Mikopo ya Vyuo na watanganyika wanaohangaika kupata kazi. Mh. Tundu Lissu ni tumaini kwa Wazanzibari wanaotaka kuiona Rasimu ya Katiba ya Warioba iliokojolewa na kupakwa Kinyesi na Jakaya Mrisho Kikwete inawekwa Mezani.
Ndugu Tundu Lissu ni Mzalendo anepigania haki kwa wote na usawa pamoja na utawala wa Sheria. Kama alivosema kwenye mahojiano na Ujerumani… namnukuu ” Nchi ikiwa na Utawala wa Sheria, na kila kiongozi akiwa chini ya Sheria- basi hata akija mtawala aliekuwa ni Shetani tutaweza kumdhibiti…” Mwisho wa Kunukuu.

Mh. Tundu Lissu tumlinde ndugu Watanganyika na Wazanzibari na tusimuache kutomaswa tomaswa na Mabalozi Mabashite. CCM hivi sasa Wanataka kumuona Tundu Lissu anauliwa ndani ya Balozi kama alivofanyiwa Jammal Hashoggy wa Saudi Arabia. Hio Ndio Mipango ya Mfalme Pombe na Watu wake wasiojulikana.

Inshallah biidhinillah iko siku na sio mbali watu hao watajuliakana kwani kila aie juu basi mgojee chini.

Allahumma Amiin.

Share: