Habari

Miaka 17 Mauwaji ya Wazanzibari kule Pemba: Nani wakulaumiwa??.

Asalamu aleikhum ndugu zangu Wazanzibari wa ndani na nje ya visiwa vyetu adhimu.

ama mimi naungana na wazanzibari woote wale ambao wanaikumbuka siku hii ambayo ndugu zetu wasio hatia waliuliwa siku ya 27.1.2001 katika kisiwa cha Pemba.

Nani wakulaumiwa?

mimi nafikiri kwanza kabla ya kumlaumu Benjamin Mkapa  Laanatullah na Mfumo wao Kristo -muungano. Basi tuangalie nyuma ni nani haswa waliokuwamo katika njama zile.

  1. Amani Karume.
  2. Mansoor Yusuf Himidi.
  3. Hassan Nassor Moyo
  4. Edi Riami.
  5. Hawa viongozi nilio wataja walikuwa ndio wahusika wakubwa walioandaa umwagaji wa damu kule Pemba kwa Wazanzibari kudai haki zao pamoja na kutaka hadhi na identity yao irudi. Waliouliwa walikuwa ni Waislamu wenzetu masikini za mungu. Na waliotaka hili litendeke ni wazanzibari wenyewe. Naamini Mkampa hata kama alikuwa ndie Mfalme wa Muungano na Tanganyika wakati ule lakini vibaraka wa Mfalme ambao walitaka kuendelea kukaa katika madaraka kinyume cha sheria ndio walikubali mauwaji yatokee.
  6. Kinachonishangaza nikuona kwamba yale yale waliokuwa wakiyadai Wazanzibari hawa ndio sasa wanayadai viongozi hao waliokuwa katika System ya Mfumo Kristo na kuitumikia matakwa yake.
Share: