HabariVifo

Mwenyekiti Wa MUWAZA atutoka

Tumepokea masikitiko makubwa kifo Mwenyekiti MUWAZA DR Yussuf. Jumuiya ya ZAWA UK inawapa pole wafiwa wote na kumuombea marehemu amsamehe makosa yake na amuingize katika pepo yake kwa Rehma zake. ZAWA UK

Tagsslider
Share: