Habari

Mwezi Umeandama Zanzibar

Zanzibar rasmi kesho watasherehekea kumalizakwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan baada ya kukamilisha siku 29 za funga. Kutokana na taarifa zilizotangzwa na vyombo vyote vya habari vimeeleza kuwa mwezi muandamo umeonekana meoneo kadhaa ndani ya Tanzania.

Hivyo kesho ni siku ya furaha kwa Wazanzibar na wananchi wengine wa Afrika Mashariki, Afrika na dunia nzima kwa ujumla.

Ikumbukwe kuwa nchi nyingi ikiwemo Saudi Arabia pia zitasherehekea Sikuu hii baada ya kukamilisha siku 30 za kufunga.

Share: