Habari

NEC imemvua uanachama Mwakilishi wa jimbo la Jangombe Abdallah Maulid Diwani

NEC imemvua uanachama Mwakilishi wa jimbo la Jangombe Abdallah Maulid Diwani kwa kukiuka maadili na kwenda kinyume na miiko ya chama na pia kutoa karipio kali kwa wajumbe wa bunge la Afrika Mashariki Maryam Ussi Yahya na Nancy Nkuhi kwa mwenendo usioridhisha na usiolinda maslahi ya nchi

chanzo:Salma Said – Facebook

Sababu ya kuvuliwa yasemekana:

Abdalla Diwani aliwaambia ccm ndani ya ukumbi wa baraza la wawakilishi kama wapo hapo kwa hisani ya jecha lakin hawakushinda uvhaguzi
Alisema kwenye baraza la wawakilishi kwamba CCM ilifanyiwa fever na Jecha mwenyekiti wa tume ya uchaguzi lakini ukweli CCM haikushinda
Walimbana pale pale aombe radhi akawauliza kwani jecha hakufuta uchaguzi?

Tagsslider
Share: