Habari

Ongezeko la Watu Zan´bar, Sababu ni CCM Kuingiza Wapiga Kura kutoka Nje ya Visiwa

Asalamu aleikhum Ndugu Wazanzibari wa Ndani na Nje ya Visiwa vyetu adhimu. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Allah kwakunipatia Uzima Afya na pumzi yakuweza kuandika Makala hii tena yenye kichwa cha Habari cha Ongezeko la Watu Zanzibar.

Nimeweza kufuatilia kwa Undani campeni zinazopigwa na Watu wa Uzazi wa Mpangilio WUNFP pamoja na Serikali ya SMZ. Na sasa wanawake kusaidiwa na Wanasiasa haramu waliojiweka Madarakana kwa Tamaa zao za Kidunia na kuto Kutosheka na Dunia. Nimemuangalia dada yangu Amina Salimu Ali akielezea Mikakati  ya ku Cantrol Over population in Zanzibar. Na  kuwataka Wazanzibari Wanawake na Wanaume Wafanye Uzazi wa Mpangilio ili waweze kujiletea Maendeleo kwa Urahisi.

Amina Salumu Weye ni Msomi uliekwisha kaa Madarakani miaka inafika 25 sasa. Hivo Unaona Watu Milioni 1.8 ya Wazanzibari ndio inayozuia maendeleo yenu?

Au ni Mfumo Wenu wa Siasa Finyu, za Kibaguzi na zisizo na Vission wala Mipango ya Kimaendeleo ndio Inayorudisha Nyuma Maendeleo ya Jamii na kuipa Mzigo Serikali?

Tafadhali Tunakustahi dada, usijekutufanya Tukakupiga Kibao hadharani kama Alivofanywa Mnafiki Mwenzako Mzee RUKSA (Ali Hassan Mwinyi).

Amina Salimu Ali ameeleza hasara zinazopatikana kwenye Serikali nakutoa sababu mbali mbali ikiwemo ya kutokuwa na Uzazi wa Mpangilio yaani  (Family Program). Population aliokusudia Amina Salumu Ali ni Wazanzibari kuzaa sana na Sio ya Wageni Kutoka Tanganyika na Nchi nyengine za Africa Mashariki na Kati ambo wanahamia hapa nakupatiwa Identity za Kizanzibari na kuzaana na hatimaye kuvimaliza Visiwa na Identity yake.

Kinachonishangaza mimi ni kwamba hivo Waziri huyu aliejiweka kwenye Serikali ya JECHA SALUM JECHA amesahau miaka 20 iliopita?

Wakati Yeye akiwa katika Serikali ya Salimini Komandoo ambao ulikuwa ni utawala wa awamu ya 5 ya, ndio ulioanzisha rasmi ongezeko la watu kutoka Mrima na Unyikani kuingia Visiwani? Kwa mfano eneo la Kiembesamaki na Chukwani linaonyesha wazi wazi kwamba kuna Watanganyika wengi ambao walichukuliwa katika kipindi cha Awamu mbili za Komandoo na awamu mbili za Masharubu na akina Mansoor Yusufu Himidi.

Watu hawa walianza kuja na watoto wao, wake na waume zao na baadae wakaanza kutuletea na VICHAA wao na Omba omba wao- ambao wanazurura katika Mji mkongwe wa Zanzibar na mitaa mengine ya Ngambo. Waswahili wanasema “…nyumba ikiwa mlango wazo hata MBWA hujitia ndani…” Hio ndio Zanzibar ya leo. Wameona Zanzibar ndio mama huruma sasa hata wendawazimu kutoka Tanganyika Kenya na Congo hutiwa Melini  na kutupwa katika Visiwa vya Zanzibar. Ukilitizama hili ktk mipango ya maendeleo ya Nchi,  miaka 20 yakuingiza wageni wasiojiweza sio kidogo.  Hii nikutokana na wageni hawa wengi walianza  kuzaliana hapa Visiwani bila yakujali kwamba hivi ni Visiwa ambavyo havina maeneo ya kutosha wala huduma zakuhudumia Over population.

Wageni hawa waliokuwa hawazalishi chochote kile ambacho kinaongeza pato la uchumi wa taifa yaani GDP offcourse huduma za maendeleo na social walfare inakuwa mbaya. Wageni wa kuibeba CCM na Mfumo wao Kristo kazi zao ni Umalaya, Ujambazi, kugombanisha Wazanzibari na ukimuona huyo aliepata kazi basi atakuwa amepata kazi katika sehemu za  muungano kama vile poster, TRA, Jeshi, Polisi n.k. Au wengine huishia kuuza KARANGA, agent wa TIGO, HALOTEL na ZANTEL pale Darajani.  Wageni hawa hupatiwa nyumba za bure ambazo nyingi zao ni nyumba za Viongozi wa SMZ-CCM  ambao wamejikusanyia Mashamba ya watu na kujikatia viwanja nakujenga majumba ambayo hawana haja nayo ila kuchumia moto. Ndugu Mzanzibari ukitaka kujuwa wanachokula Wazanzibara ni fedha za walipa kodi wa Kizanzibari na za ZFS ambazo huchotwa na viongozi wa CCM.

Amina Salum Ali hawakulifikiria tatizo hilo, wao walichokitaka ni CCM na SMZ  kuendelea kubakia madarakani hata kama Visiwa vitakua havina hata pakuvutia pumzi.

Baadhi ya viongozi wenye uzalendo wameliona tatizo hili na walikua wakipigia kelele, lakini huambiwa wapinzani wa SMZ. Lakini huu ndio ukweli kwamba Serikali ya CCM Zanzibar imeingiza na mpaka sasa inaendelea kuingiza idadi kubwa ya wageni Visiwani na kujisahau kwamba hivi ni Visiwa ambavo Eneo na Ressources zake hazitoshi hata kuwaendeshea maisha wananchi wake. Achilia mbali kulisha Watanganyika, wakenya, Wacongo, Waganda na kuwaweka bure.  Leo maeneo ya Fuoni , Kibele, Tunguu, Mwera, Mwanakwerekwe na hata Mjini hakuna amani tena kwa wageni wazururaji na omba omba. Na lakutisha zaidi sasaivi kumekuwa na Wacongo wengi ati huja kununua dagaa kule Pemba lakini wanaishi kiholela na  immigration polisi /Serikali ya CCM inalijuwa hili.Watu hao hawakuwa wa kurudi tena walikotoka kwavile wao (Wageni) ndio wamekuwa wenye Visiwa (Wazanzibara) na wenye Visiwa ( Nartive Zanzibari) wamefanywa Wageni wakaazi. Tusione ajabu kusikia Visiwa hivi vimepata maradhi ya EBOLA soon rather than later. Leo mumejisahau kwamba munapoiacha milango ya Visiwa wazi ni kwamba munaongeza population? Na mukiongeza population isio zalisha chochote ni kwamba munaibebesha Serikali Mzigo mkubwa na huduma za jamii kuwa duni?

Amina Salumu Ali umeshakaa Marekani na nina uhakika unajuwa ssystem ya ukuaji wa uchumi na huduma bora. Ukiangalia kama nchi nyengine za Africa na Ulaya wanakuwa na mfumo wa immigration control Mfano nenda hapo Kenya, Burundi na Ruwanda, hawataki upuuzi wakuingiliwa na wageni ovyo ovyo au kuuza maeneo yaokwa wageni. Hata mtu awe anatoka hapo Tanganyika, basi kuingia katika visiwa nilazima mtu huyo ahojiwe anakuja kufanya nini? Lakini leo wanaohojiwa na kuzuiwa Aiport au bandarini ni wale Wazanzibari Nartive waliokuwa na uraia wa kigeni.  Leo Hii Serikali haramu ya CCM Jecha Salum Jecha imeona maji yamewafika shingoni, wanaanza kulalamika ati Zanzibar ina Idadi ya Watu wengi kwasababu kina mama na kina baba hawataki Uzazi wa Mpangilio.

  • MAONI na USHAURI KWA WAZANZIBARI WOOTE WA UNGUJA NA PEMBA.Ni marufuku kwa Mzazibari yoyote yule alie Muislamu kufanya Uzazi wa Mpangilio. Hii nikwasababu kwamba Population ya Waislamu inazidi kushuka siku hadi siku hasa katika Visiwa Vyetu na Kuchukuliwa na Population ya Wakristo na watu wa Medhehebu Mengine. Hivo tunatakiwa KIDINI tuachane na Mfumo Kristo ambao Ndio Ulioanzisha Ku Control Idadi ya WATU hasa katika Nchi za KIISLAMU. BIRTH CONTROL history haikuja Ki- Humaniterian bali imekuja kwa ajili yakupunguza populationa ya Waislamu na Sio jengine.
  • P Pillers au Dawa za Uzazi wa Mpangilio Sio Salama: Ni Marufuku kwa kila Mzanzibari aliekuwa Muslamu kuacha mara moja kutumia Dawa za PP au LUP, Au Kuchoma Shindano za Majira. Dawa hizi zoote niliozitaja zina SIDE IFFECT yaani zina matatizo yakukuza Saratini katika Muili wa Binaadamu kama vile CANSER ya Fuko la Uzazi n.k. Hata hao Wazungu Wenyewe siku hizi hawatumii Uzazi wa Mpangilio Tena Wana njia zakuziba Fillopian Tube na baadae huifungua kwa kufanya Miner Operation.

Nawaomba Wanawake na Wanaume wa Kizanzibari musiruhusu Wake zenu Kupangiwa Uzazi. Hio ni Agenda ya Mfumo Kristo Kutaka Kupunguza Idadi ya Waislamu Visiwani. Na Ushahidi Upo. Tumeona Ongezeko la Wanyamwezi wenye Madhehebu ya Kikristo Wakivamia maeneo ya TUNGUU. Vitongoji Pemba, Makangale. Pwani Mchangani, Fumba na sehemu nyingi nyengine amabzo hiupata Magofu ya Bure ya Viongozi wa CCM.

  •  Uzazi wa Mpangilio sio suluhisho lakutatua matatizo ya kijamii nakuipunguzia Serikali gharama, Uongozi bora na usiokuwa na Rushwa ukisaidiwa na ubunifu wa Kazi na miundo Mbinu ndio Suluhisho la Kupunguza matatizo ya Jamii. Since our population in Zanzibar are less than 2 million. Mfumuko wa Watu Ni Uongozi haramu ulioweka viongozi Wasiokuwa na Uzalendo wala Vission ya Maendeleo ya Visiwa Vyao.

Population hii iliozidi inachangiwa na Ndugu zetu wa Damu ambao Wanamiminika ( ATI) kuja kutafuta maisha Bora Zanzibar. Nashangaa MaTI KUOMBWA SANDA. Ikiwa Tanganyika Maisha ni Magumu bac Visiwani yamezidi Ugumu zaidi. Zamani Watanganyika Waliofeli Madarasa ya Saba Wakija Visiwani Kupata Elimu ya Bure . Sasaivi Kila kitengo Cha Biashara kinachukuliwa na Watanganyika na hatimaye Kuimaliza population ya Watu Wacahache wa Kizanzibari Waliobakia.

 

Chonde Chonde Wazanzibari na Uzazi wa Mpangilio. Njaa mulionayo na Matibabu Mabovu pamoja na Udhalimu Unaofanywa na Serikali Haramu hamutoweza Kuishi hata miaka 2 kama mutajitia Ujuwaji wakula MAJIRA. Chonde Chonde Wazanzibari.

ZAANENI ILI TUWE WINGI tuvilinde Visiwa Vyetu. Hao wanaokaaa kwenye Majukwaa Wakawapigia Kelele Uzazi Wa Mpangilio Wana Interest Zao katika Serikali Hii Haramu na Sio kama Wanawatakia Kheri Wazanzibari na Visiwa vya Zanzibar

Share: