Habari

Palestine na Zanzibar

Raia 52 wa Palestina wameuawa na wengine 2,400 wamejeruhiwa na wanajeshi wa Israeli katika mapigano mabaya kuwahi kushuhudiwa tangu mwaka 2014 katika mpaka wa Gaza, maafisa wa Palestina wanasema.

Raia wa Palestina wamekuwa wakiandamana kwa wiki kadhaa lakini zimechacha leo wakati ubalozi mpya wa Marekani umefunguliwa mjini Jerusalem hatua iliyowaghadhabisha Wapalestina.

Wanaitazama hatua hiyo kama Marekani kuunga mkono utawala wa Israel katika mji huo mzima wakati wapalestina wanadai haki ya umiliki wa eneo la mashariki mwa mji huo.

Maafisa wa vyeo vya juu kutoka Marekani watahudhuria sherehe hiyo leo akiwemo binti ya Rais wa Marekani Donald Trump Ivanka na mumewe Jared Kushner.

NB
Wapelestina hawaongozwi na wanasiasa, wanapigania nchi yao,ardhi yao kama wananchi wa Palestine, ni haki yao na kwa Mwenyezi Mungu ni jihad,leo hii sisi wazanzibari tupo kimya, tunaogopa kufa,maji ya kuwasha, mabomu ya machozi, hatuangalii athari tunayo ipata na adhabu kutoka kwa mola wetu,nchi yetu ilikuwa imetakasika, sasa hivi muungano umetuletea kila balaa zanzibar, mabaa, guest, utamaduni wetu kupotea.

Leo hii wamasai ndio utambulisho wa zanzibar, wanajidai kifua mbele,leo hii Makanisa kila kukicha zanzibar, usenge unao fanywa huko mahotel ya kitaalii Allah hatuachi, tutapata adhabu kubwa, lazima wazanzibar tusimame kwa miguu yetu,tuondoe kwanza huu muungano, ikisha tusafishe hii serikali yetu,imejaa uwoza ndio Chanzo cha kupotea utamaduni, uchumi, viongozi wetu wa dinI, mambo haya toka kuasisiwa kwa mapinduzi.

Kule saudia wameruhusu kuuza nguruwe sasa,angalia kilicho tokea, mvua kubwa na vumbi kali sana, angalia maafa huko, Turkey, na hapa zanzibar,yote haya ni ghazabu ya Allah, ana chukizwa.

Enough is enough, tusafishe huu uchafu tulio achiwa baada ya mapinduzi kwa umoja wetu,ipo siku tutashinda Insha Allah

Nawatakiwa ramadan njema, Allah a tupe uhai tuumalize kwa salama na amani, na atulinde na balaa, atupe muongozo, na atutakabalie touba zetu amin,

Share: