HabariKimataifa

Pemba Shwari baadhi ya vituo wameanza kujumuisha

Uchaguzi huu umeenda shwari kabisa watu wamekuwa watulivu na wasikivu,Baadhi ya Vituo PEMBA wameshaanza kujumuisha kura wanasubiri majumuisho ya pamoja kutoka kwenye vituo vyengine, Hadi sasa hali ni shwari ,utaratibu umekwenda uzuri.

Vituo vya maeneo ya Mkoani ,watu wanapiga kura na kuelekea nyumbani,hakuna vurugu..

habari zaidi live tembelea www.startvtz.com/startv-live

Tagsslider
Share: