Habari

rais mpya 2016, ni malim seif sharif hamad

ni matumaini yangu, kwamba rais huyu ndio atakae iongoza zanzibar kwa misingi ya usawa na umoja, wa wazanzibar wote bila ya kubagua rangi jinsia dini na kabila, zanzibar tokea kuondoka kwa rais wetu wa kwanza muasisi mkombozi wetu nd, abeid aman karume, Zanzibar imetawaliwa na tanganyika kwa miaka 51 sasa na marais vivuli waliotutawala hapa uongozi wao umekua wa kutuburuza kwa amri ya  watanganyika, utawala wa zulma unafiki na ukatili zidi ya wazaznibar, ifikapo 2016 tutakua na dira mpya maendeleo na kuyasahau yote yaliopita

Share: