BarazaBarazaniHabari

RASIMU YA KATIBA INA MAPUNGUFU MAKUBWA

Assalaam Alykum.

Pamoja na kuisoma kwa uchache sana Rasimu ya katiba iliyotolewa na tume ya mabadiliko ya katiba mapungufu makubwa yamejitokeza  kwa upande wa ZANZIBAR.

Mapungufu yenyewe yaliyojitokeza :

1. Tanganyika – Eti kujiita Tanzania Bara. Uhalali wa kujiita Tanzania Bara umetoka wapi? kwanini wanaogopa kujiita Watanganyika ? Utaifa wao wa Utanganyika hawautaki kwanini? = HAKUNA UHALALI WA TANZANIA BARA KATIKA RAMANI YA AFRIKA bali ni TANGANYIKA.

2. Bunge la TANZANIA – Eti litakuwa na wajumbe 75.  Eti 20 kutoka Zanzibar na 50 kutoka Tanganyika (AKA tanzania bara) Hii ni kuonyesha kwamba Muungano huu sasa umekuwa na ukubwa na udogo? Huu muungano sasa una Ratio ya 1/3 ? Ili waweze kupitisha yao ni lazima wafikishe theluthi 2 ya wabunge ukitazama  wao 50 wameshafika sasa wazanzibari lao watapitisha kwa njia ipi?  HUU NI UKOLONI WA DHAHIR

3.  YAPO MENGI MAPUNGUFU NAENDELEA KUISOMA >>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Share: