HabariMatangazo

Saidia Zanzibar kwa kutuma fedha kupitia PBZ

Dear brother,

Ni sisi Zanzibar-Canadian Diaspora Association (ZACADIA)tunawasiliana na wewe. The People’s Bank of Zanzibar Limited (PBZ Ltd)walitujulisha kuwa walikuwa wanatafuta kampuni ambayo itawawezesha Wazanzibari wa nje kupeleka pesa Zanzibar from the comfort of their homes – popote pale walipo kwa bei nafuu. Imepatikana kampuni moja kutoka UK ambayo pia ipo hapa Canada, Europe (EU), Australia na New Zealand inayoitwa World Remit ambayo kutokana na World Bank Reports is the cheapest and the best in the market today.

Fees zake ni kidogo kama ukilinganisha na za Western Union au MoneyGram. Sisi wengine hapa tushaitumia na tumepeleka pesa Zanzibar. Tukiwa kama ZACADIA, tumo katika kuwajulisha wanzibari wote wa Canada na Ulimwengu mzima, ili sote tuitumie hii kampuni, kwasababu fedha za kigeni zitabakia PBZ na Zanzibar itaweza kufaidika.

Edited by MZALENDO.NET
Ujumbe kutoka ZACADIA

Share: