AudioHabari

Sauti – Bank Ki Moon apokea tamko la kimaandishi kuhusu uporwaji wa haki na udhalilishaji wa Wananchi Zanzibar

Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amepokea tamko la kimaandishi kutoka umoja wa vyama vya kiliberali kuelezea jinsi uporwaji wa haki za wananchi wa Zanzibar na haki za Kibinaadamu, zaidi sikiliza clip hiyo.

Share: