AudioHabari

Sauti – ( Mada Ubaguzi) Mahojiano ya DW na Fatma Karume,Daud Ismail na wengine

Maoni wiki hii yaliyoongozwa na Mohammed AbdulRahman, yanahusika na hali ya kisiasa Zanzibar, kauli za kibaguzi na uhasama wa kisiasa. Walioshiriki ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Daud Ismail, mwanasheria Fatma Karume, mwandishi habari wa siku nyingi na kada wa CCM Enzi Talib na mchambuzi Atillio Tagalile.

Bofya kiungo hapo chini na Chagua Matangazo ya Mchana

BONYEZA MATANGAZO YA MCHANA

Share: