Podcasts

Sauti:Mahojiano baina ya DW na Ismail Jussa

Msikilize Othman Miraji akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Zanzibar) Ismail Jussa, juu ya uamuzi wa hivi punde wa Baraza Kuu la Uongozi kumfukuza mmoja wa waasisi wa chama hicho na mwanasiasa mkongwe, mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohammed, na wenzake watatu.

Play

Share: