Podcasts

Ripoti ya Salma Said – Makubaliano ya UKAWA/Zanzibar

Salma Said,

Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) leo wamekutana na waandishi wa habari mjini Zanzibar na kutoa maazimio yao waliokubaliana kwa pamoja ambapo wamekubaliana kuweka mgombea mmoja katika kila nafasi baada ya kupitia majimbo yote ya uchaguzi huku wakijigamba kwamba bado wapo imara. Salma Said alihudhuria mkutano huo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Tagsslider
Share: