Podcasts

Rushwa bado kilio CCM

Play

Suala la rushwa miongoni mwa maafisa wa chama Tawala nchini Tanzania, CCM limetawala vichwa vya habari nchini humo, baada ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, TAKUKURU, kukamata kada mwandamizi wa chama hicho.

Aliyekamatwa ni Mussa Azzan Zungu ambaye ni mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM. Ili kujua namna kukamatwa kwa bwana Zungu kulivyopokelewa ndani ya CCM, Daniel Gakuba amezungumza na katibu mwenezi wa chama hicho Nape Nauye.Mwandishi. (Kusikiliza mahojiano tafadhali bonyeza alama ya spika masikioni)

Mhariri: Mohammed Khelef

Share: