Podcasts

Sauti:Udhalilishaji wa kijinsia

Pamoja na jitihada za muda mrefu za kutokomeza kabisa udhalilishaji wa kijinsia katika nchi mbali mbali zinazoendelea ikiwemo za Afrika Mashariki, bado tatizo hilo linaonekana kuwa kubwa katika jamii.kupigwa, kunyanganywa mali, kulazimishwa tendo la ndoa, kubakwa, na kutelekezwa na watoto ni miongozi mwa udhalilishaji mkubwa unaoripotiwa mara kwa mara katika taasisi ikiwemo polisi katika nchi kadhaa. Ungana nami Salma Said kutoka hapa Bonn katika makala hii:

Sikiliza:

Play

Share: