Podcasts

Sauti:Vitambulisho na mawakala – uchaguzi Zanzibar

Salma Said,

Tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC ikiwa tayari imeshakamilisha taratibu zake zote za uchaguzi mkuu utakaofanyika hapo kesho kumekuwepo na malalamiko kwa vyama vya siasa kuhusiana na kutokupewa vitambulisho vya mawakala wa vyama watakaosimamia zoezi zima la upigaji kura. Salma Said na taarifa kamili.

Share: