Habari

Sauti:Bwana Abdi Omar Maalim-Mkurugenzi wa Usafiri Baharini

Play

Bwana Abdi Omar Maalim kuhusiana na Meli ya Kilimanjaro 2 iliyopata khitilafu jana na kupoteza watu kadhaa ambapo watano wakipatikana wamefariki, watatu wakiwa hai na zaidi ya 20 kuendelea kutafutwa.

Sauti kwa hisani ya Salma Said:

Share: