Habari

SEFU Mweusi : Alisema CUF mwishi ni 2015, Lipumba watabakia na Jina

Assalamu aleikhum ndugu zangu wa Tannganyika na Wazanzibari wa ndani na nje ya Visiwa  na Nchi yetu adhimu. Ama mimi sina budi ila kumshukurua Allah SW kwakuiona siku hii ya furaha na mapumziko ya Nafsi na akili yangu. Tokea Nilipomuona Maalim Sefu amabe aliamua kuijenga CUF katika vichaka na Viunga vya Unguja na Pemba sasa amewaachia CCM kwakupitia  kibaraka wao Lipumba.

Tukirudi kwenye Historia miaka 3½ iliopita pale Kiembe Samaki, alipokuwa Sefu Iddi  Balozi wa Tanganyika Visiwani Zanzibar ( Sefu mweusi) siku ile aliokuwa akiwahutubia wana CCM- Alisema kwamba Mwisho wa CUF ni 2015..

Naam Kweli maneno yake Sefu Mweusi yametimia kwamba CUF imemalizika 2015, lakini alichokuwa hakukiweza kukifanya ni kuwanyamazisha Wazanzibari kupitia maalim Sefu Kudai Haki yao ya Uchaguzi na nafasi ya Uraisi alioporwa maalim Sefu siku ya tarehe 28/10/2015. Haki ile ya  Wazanzibari ipo na Inshalllah itapatikana tuu Kwa uwezo wa Allah.

Nikija kwa Upande wa Mutungi na Kata au Rita, Wao wameamuwa kumpa Lipumba chama cha CUF ili azidi kumaliza kukichana chana. Lakini bahat mbaya Lipumba amebakiwa na Jina la CUF na sio Wanachama. Hili nalo ni pigo kubwa kwa Mfumo Krito wa Muungano na vibaraka vyao akina Khalifa , Nassor Sefu na Muhunzi..

Ukweli umeonekana leo baada ya maalim tu alipotangaza kujiunga na ACT Wazalendo, Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Mikoa mengine ya Bara. Bendera za CUF na Majengo yaliokuwa na rangi za CUF yalisafishwa within a mites also.. Ni maajabu makubwa yakuona wananchi wanao dai haki zao wamekuwa very sharp to react and adopt another Wings.

Tumeona kwa upande wa CUF Feki ambayo naamini kwasasa Lipumba atakuwa amemaliza kazi yake, itaendelea kusua sua au kutumia UV-CCM ambao wanakuwa wanasafirishwa kutoka Tanganyika kwenda Visiwani kujaza namba ya watu.. naamini Lipumba na timu yake hata wawe Mahiri vipi, au tuseme hata awatowe Mashekhe wetu wa Muamsho sio jambo kubwa. Basi hapati Wafuasi kama aliokuwa nao maalim Sefu.

Tunachotaka sasaivi nikumuoan maalim Sefu anawaachia Wananchi kudai haki yao ya 2015 na kumpeleka Ikulu na sio Jengine.

ACT- Wazalendoooooooo

ACT- Wazalendooooooo.

Peoplessssss- Powerrrrrrrr.

Chadema- Mabadilikooooo

Mabadiliko-Chademaaaaaaaa.

Tundu- Lisu Mabadilikooooooo.

Tundu Lisu- Chaguo letu 2020.

Ukawa- Tumaini la Watanzania.

ADP.. Mabadilikoooooooo

Share: