Habari

Shukran za dhati – Malipo ya hosting yamefanikiwa

AS,

Tunatoa shukran za dhati kwa wale wote waliotoa michango ya kifedha na kimoyo / moral-support wakiwamo ZanzibarNiKwetu. Leo tumefanikisha kulipia hosting account tunayorushia mtandao huu na kwa bahati nzuri bado mfuko wa fedha haukuisha wote hivyo wazo la kurekebisha theme / look en feel kuelekea responsive bado lipo.

Malipo yaliofanyika ni:

Total $246.84 USD
Payment $246.84 USD
Payment sent to support@a2hosting.com

Balance ya Account baada ya malipo: 260 USD – ( 35 USD kwa matumizi yaliolengwa familia za masheikh ambazo hazipelekwa kwa wahusika.)

Tutaafnya matumizi kama ya 50 – 60 USD kununua template / theme nyengine ili kutatua wasomaji wa mobile-devices kama simu na tablets.

Shukran

MZALENDO.NET

Share: